TAARIFA ZA UWEKEZAJI KWA KOTA YA KWANZA YA MWAKA 2026 (JANUARI-MACHI 2026)
Muendelezo wa Taarifa za Usajili wa Miradi kwa kipindi cha Januari- Machi 2026! Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Bw. Gilead Teri anaelezea zaidi!
